Property reference number: AR628109
Nyumba ya vyumba vitatu iliyopo Kimara Mavurunza inauzwa. Ipo eneo zuri linalofikika wakati wowote kwa gari. Bei ni maelewano. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.