• Business Starts Here!

TZS 100M - Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Sinza A


Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Sinza A Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Sinza A

Property reference number: AR347438
Ni nyumba ya vyumba nane iliyopo Sinza A. Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa wa mita za mraba 300. Kiwanja kina hati na kimezungushiwa fensi. Ujirani mzuri sana. Inafaa kama nyumba ya kupangisha/biashara. Bei ni TZS 100 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.


Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product