Property reference number: AR339683
Nyumba ya vyumba vitatu iliyopo Tegeta Masaiti inauzwa. Vyumba vingine ni: shared toilet, sebule, dining room na jikoni. Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa wa mita za mraba 450 ambacho kimezungushiwa fensi. Bei ni TZS 55 milion. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu kwa maelezo zaidi.