Property reference number: AR204723
Nyumba ya kisasa ya ghorofa yenye vyumba sita inauzwa Mbezi Beach. Vyumba vingine ni pamoja na sebule, dining room, na jiko. Master bedroom zipo tatu. Imenakshiwa kwa madirisha ya aluminium, sakafu za marumaru na nje uwanja una paving blocks na garden. Ipo kwenye uwanja uliopimwa wenye ukubwa wa mita za mraba 1,300. Tafadhali wasiliana nasii kwa maelezo zaidi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" ili kupata namba zetu.