Property reference number: AR202029
Nyumba hii ni ya vyumba vitatu, sebule, jiko na dining room. Chumba kimoja kati ya vitatu ni master. Ipo Mbweni Mpiji karibu kabisa na Bomela hotel. Kiwanja kina fence na kina ukubwa wa mita za mraba 640. Imenakshiwa kwa madirisha ya aluminium, sakafu ya marumaru na ceiling ya gypsum. Ndani imefungwa feni vyumbani. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.