• Business Starts Here!

TZS 15M - Viwanja vilivyopimwa Goba Kisauke


Viwanja vilivyopimwa Goba Kisauke Viwanja vilivyopimwa Goba Kisauke

Plots tumeanza kuuza. Zipo kwenye mradi wa viwanja 20 uliopo Goba Kisauke. Mradi upo umbali wa mita 800 kutoka Bajaz zinapoishia. Viwanja vimekatwa ukubwa wa chini kabisa ni 35/20 na kuendelea. Viwanja vyote hakuna chenye bonde na barabara zimegawiwa na kusafishwa vizuri na panafikika vizuri wakati wote. Kwa sasa 35/20 tunauza TZS 15 Million, mazungumzo yapo. Karibu sana. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product