Shamba linauzwa lipo Gwata. Linapakana na mto Ruvu. Lina ukubwa wa ekari 100 (mia moja) ambapo ekari 20 kati ya hizo zimekua cleared. Shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji kwa kupitia maji ya mto Ruvu. Mazao yanayofaa kulimwa sana ni pamoja na nyanya, vitunguu, water melon, mahindi, mbaazi, carrot, giligilani, pilipili hoho na ufuta. Yote yanakubali. Ni ardhi yenye rutuba sana. Bei ni TZS 30 Million.