Property reference number: AR454725 ... Nyumba mbili ambapo kila moja ina vyumba vitatu (kimoja ni master bedroom), dining room, sebule, jiko na shared bathrooms. Kila moja ina mita yake ya umeme na maji. Zipo kwenye kiwanja kikubwa kilichopimwa na chenye hati. Bei ni maelewano. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.