• Business Starts Here!

USD 10.9k - Nyumba inauzwa Mbagala Chamazi


Nyumba inauzwa Mbagala Chamazi Nyumba inauzwa Mbagala Chamazi

Property reference number: AR609208 ... Nyumba ya vyumba vitatu iliyopo ndani ya uwanja wa mita za mraba 400 (mia nne). Nyumba ipo Mbagala Chamanzi. Ina vyumba vitatu (pamoja na master), sebule, jiko na dining room. Pia ina shared bathroom. Maji yapo pamoja na umeme. Tafadhali wasiliana nasi kwa kututumia email (send email) au kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu za simu. 

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product