• Business Starts Here!

USD 32.6k - 3 bedroom house, Nyumba inauzwa Kimara Temboni


3 bedroom house, Nyumba inauzwa Kimara Temboni 3 bedroom house, Nyumba inauzwa Kimara Temboni

Property reference number: AR555787 ... Nyumba ya vyumba vitatu ambapo viwili ni master bedroom, sebule, jiko na dining room. Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa wa mita za mraba 1,200 ambacho kina fensi. Finishing ni ya hali ya juu. Tafadhali wasiliana nasi tukupeleke ukaione. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product