• Business Starts Here!

MCB, Tukutane January account


MCB, Tukutane January account MCB, Tukutane January account

Akaunti ya "Tukutane January" - Kwa kutambua majukumu makubwa uliyonayo katika kipindi cha January. Tukutane Januari account itakuwezesha kuweka akiba kidogo kidogo kila mwezi katika kipindi chote cha mwaka.

Ndugu mteja hujachelewa. Anza sasa kuweka fedha zako ili zikukimu mwezi Januari. Utapata riba nono ya asilimia nne (4%) .Kwa mawasiliano zaidi tafadhali bonyeza kitufe kilichoandikiwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tembelea matawi yetu ya Mlimani au Samora

Contact UsSend Email

  • Mlimani Tower
  • Sam Nujoma Road
  • Mlimani Area
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product