• Business Starts Here!

TZS 450M - Nyumba inauzwa Msasani, House for sale in Msasani


Nyumba inauzwa Msasani, House for sale in Msasani Nyumba inauzwa Msasani, House for sale in Msasani Nyumba inauzwa Msasani, House for sale in Msasani Nyumba inauzwa Msasani, House for sale in Msasani

Mahali: Msasani, Dar es Salaam mtaa wa Mikoroshini.
Bei: 450 Milion za Kitanzania, mazungumzo yapo.
Umiliki: Ina hati miliki (ina msimamizi wa mirathi)
Ukubwa wa kiwanja: Mita mraba 1,000 (elfu moja)
Idadi ya vyumba: Nyumba kubwa ina vyumba 6, na uani kuna vyumba 3 vya kulala.
Kufikika: Inafikika kwa barabara ya lami maarufu "Kimweri Avenue"
Ujirani: Damta Hotel

Mnunuzi anaweza kuinunua na kuibadili matumizi. Mfano, kuivunja na kujenga nyumba za kisasa za kupangisha (Apartments), ghorofa, hoteli, au jengo la ofisi. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product