• Business Starts Here!

TZS 30M - Nyumba inauzwa Mbezi Louis


Nyumba inauzwa Mbezi Louis Nyumba inauzwa Mbezi Louis Nyumba inauzwa Mbezi Louis

Nyumba ipo Mbezi Louis kituo cha kwa Robert. Eneo la kiwanja lina mita za mraba (square meters) 600. Nyumba ina vyumba vitatu ambapo kimoja ni self contained master bedroom. Vilevile kuna jiko, dinning room na sebule. 

Nyumba ipo takriban mita 400 kutoka barabara ya lami ya Mbezi Louis kwenda Goba na ina maji na umeme. Inauzwa kwa TZS 30 Million na mteja atawajibika kulipa costs zote ikiwamo commission na serikali ya mtaa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product