Ni nyumba mpya ya kisasa ipo Kibamba kwa Mangi wastani wa mita 700 toka barabara ya lami. Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 1,100. KIwanja kimepimwa na mawe yapo. Nyumba ina rooms 3 ambapo kimoja ni master bedroom. Vilevile ina sebule, jiko na store room yake, dining room na public toilets. Bei ni TZS 80 Million, maongezi yapo.