Kiwanja cha makazi (Pichani) kinauzwa Mbweni Mpiji. Kina ukubwa wa mita za mraba (square meters) 1,360. Kimepimwa na kina title deed. Bei ni TZS 65 million, mazungumzo yapo. Tafadhali wasiliana nasi kwa simu au email. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.