Apartments zina vyumba viwili ambapo master bedroom ina AC. Dinning room na sitting room ina AC. Jiko lina kabati zake na heater. Bafu na toilet zote zipo na heater pia. Zipo unit nne na kati ya hizo zimebaki tatu. Parking ipo kubwa sana gari ndogo zinakaa hadi saba. Maji ya Dawasco hayajafika lakini kila unit ina reserve tank lake, LUKU yake na DSTv dish. Vyumba vyote vina kabati za ukutani. Bei ni shilingi laki tano kwa mwezi.