• Business Starts Here!

Viwanja vya makazi vinauzwa Mbezi Luis


Viwanja vya makazi vinauzwa Mbezi Luis Viwanja vya makazi vinauzwa Mbezi Luis Viwanja vya makazi vinauzwa Mbezi Luis Viwanja vya makazi vinauzwa Mbezi Luis

Viwanja vitatu vilivyopo Mbez Luis .. mitaa  hii inajengwa stendi kubwa ya kimataifa so its very prime .. Plot ipo  mitaa ya Msikitini mbele kidogo ya soko la Mbez Luis. Viwanja ni vikubwa na vipo katikati ya makazi. Maji na umeme vipo. Panafikika kwa wakati wote barabara ya mtaa imepita mbele tu. Vipo umbali wa mita 400 toka  lami ya Mbez Luis to Goba. Vinafaa kwa uwekezaji wa nyumba za makazi za kupangisha. 

Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product