• Business Starts Here!

TZS 800k - Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach


Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach Nyumba ya kupangisha Mbezi Beach

Nyumba inapangishwa maeneo ya Mbezi Beach. Ina vyumba vitatu ambapo kimoja ni master bedroom. Sitting room, dining room, jiko pamoja na store. Uwanja ni mkubwa wenye garden. Inapangishwa bila samani za ndani. Bei kwa mwezi ni Shilingi laki nane. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product