• Business Starts Here!

TZS 200M - Nyumba inauzwa Mbweni


Nyumba inauzwa Mbweni Nyumba inauzwa Mbweni

Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa Mbweni. Ina vyumba vitatu ambapo vyote ni self contained (3 x master bedrooms). Sebule nzuri na yenye nafasi. Semi furnished kitchen. Bathrooms zilizomaliziwa kwa ustadi mkubwa. Aluminium windows. Tiled floors. Paved driveway. Garden nzuri sana. Ipo kwenye eneo lililozungukwa na majirani wanaojiweza. Kiwanja kina title deed. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product