Nyumba kubwa ya vyumba vitatu, ambapo kimoja kati ya hivyo ni master. Vyumba vyote vina AC. Ina sebule kubwa na sitting room kubwa. Jiko limetengenezwa kisasa. Finishing ya ndani na nje ni aluminium windows, floor tiles na paving blocks. Garden ina uwanja mkubwa na maji ya uhakika. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.