• Business Starts Here!

TZS 25M - Nyumba inauzwa Goba Mpakani


Nyumba inauzwa Goba Mpakani Nyumba inauzwa Goba Mpakani Nyumba inauzwa Goba Mpakani

Nyumba inauzwa Goba Mpakani. Ipo mita 150 toka barabara  kuu ya Goba mpakakani. Ina bedrooms 3, sebule, dining room na jiko. Kiwanja kimepimwa. Inahitaji kumaliziwa. Bei ni TZS 25 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product