Hii ni maalum kwa walimu na manesi, na watu ambao wanapenda magari yasiyotumia mafuta. Kwa litre inakupa kilometer 15. Vilevile inafaa kwa biashara ya Taxi/Uber. Njoo ujipatie hii gari kwa bei yako. Yaani wewe ndio unapanga bei. Ni Toyota Vitz model ya mwaka 2008. Engine size 1,290 cc. Automatic gearbox. Mkataa kwema pabaya panamwita. Tupigie simu kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu. Tupo kwa ajili yako.