Nyumba mbili zinauzwa kwa pamoja. Zote zina bedrooms 3, sitting room, dining room, kitchen na public toilets. Hazijakamilika.
Plot size: 1,050 square meters
Bei elekezi: TZS 120 Million
Location: Mpiji Kibesa
Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu za simu.