• Business Starts Here!

TZS 270k - Mashine ya kukata kuku mdomo, Debeaking machine


Mashine ya kukata kuku mdomo, Debeaking machine Mashine ya kukata kuku mdomo, Debeaking machine

AUTOMATIC DEBEAKING MACHINE AVAILABLE.
Mashine automatic maalum ya kukata kuku mdomo zinapatikana.

Hasara za kutokata kuku mdomo:
  • Kudonoa wengine hadi kuwaua.
  • Kudonoa mayai na kuyapasua hivyo kusababisha hasara.
  • Kushindwa kula chakula vizuri hivyo ukuaji kudorora.

Epuka hayo kwa kutumia mashine hii yenye kipimo cha kiasi gani umpunguze mdomo kiusalama bila kumuumiza au kumkata ulimi. Kwa bei nafuu ya TZS 270,000.

Tumia bidhaa bora za ufugaji kutoka AFI-GREEN ili kuepuka kununua bidhaa feki. Bidhaa zetu zote zinakuja na Warranty card ya miezi 12. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product