• Business Starts Here!

Combined rice mill


Combined rice mill Combined rice mill

TANSTAR ENGINEERING.
Ni wataalam waliobobea wa kuunda na kuuza mashine bora kabisa za kilimo nchini Tanzania. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na kuelewa kinachokosekana sokoni sasa wamejidhatiti kuleta mapinduzi kwa kukupatia mashine bora na imara zinazoendana na mazingira ya kiTanzania.

TANSTAR wanazo mashine kama
 • Combined rice mill (mashine za kukoboa mpunga)
 • Maize mill (mashine za kusaga na kukoboa mahindi)
 • Chaff cutter (Mashine za kukata majani)
 • Maize sheller (Mashine za kupukuchua mahindi)
 • Mashine za kupalilia
 • Tractors
 • Na nyinginezo nyingi sana

Kwa maelezo zaidi kuhusu TANSTAR ENGINEERING na namna ya kuweka order za mashine kulingana na uhitaji wako tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Near Kairuki Hospital
 • Chwaku Street
 • Regent Estate
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product