• Business Starts Here!

TZS 200k - Heater za kuzalisha joto, vifaranga 500 hadi 3000


Heater za kuzalisha joto, vifaranga 500 hadi 3000 Heater za kuzalisha joto, vifaranga 500 hadi 3000

Zifuatazo ni athari zinazosababishwa na hali ya hewa ya baridi bandani:
  • Kuku kupunguza kutaga kutokana na kutumia nguvu ya chakula kujizalishia joto
  • Kuku kudumaa kutokana na kutokula vizuri
  • Magonjwa ya njia za hewa kutokana na baridi.
Jipatie heater zenye uwezo wa kuzalisha joto kwa vifaranga 500 hadi vifaranga 3,000 kwa bei ya punguzo ya TZS 200,000 tuu.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product