• Business Starts Here!

TZS 60k - Infrared heater kwa ajili ya kuwapa joto kuku


Infrared heater kwa ajili ya kuwapa joto kuku Infrared heater kwa ajili ya kuwapa joto kuku

AFI GREEN EQUIPMENT LTD tunakuletea infrared heater maalum kwa kuzalisha joto. Heater hii moja inaweza kuzalisha joto kwa hadi vifaranga 700 na inapatikana sasa kwa bei ya punguzo ili kila mfugaji aweze kumudu.

Before TZS 90,000
Now TZS 60,000 tuu

Heater inatumia umeme kidogo na ni imara sana na ina sehem maalum ya kupandisha na kushusha joto kulingana na uhitaji wako. Kwa maelezo zaidi kuhusu infared heater wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product