• Business Starts Here!

Pellet production machines


Pellet production machines Pellet production machines

PELLET PRODUCTION LINE 1.5 TONS PER HOUR
Mjasiriamali mzalishaji wa chakula cha mifugo fanya maamuzi sahihi ya kuongeza thamani ya kiwanda na bishaa yako kwa kufunga mashine bora kabisa ya kuzalisha chakula cha mifugo kutoka AFI GREEN EQUIPMENT LTD.

AFI GRREEN ni kampuni inayoongoza katika teknolojia ya vifaa vya ufugaji kuku hivyo pia elimu ya kina ya namna ya kutumia mashine kiustadi inatolewa kwa wafanyakazi.

Wewe pia unaweza kumiliki kiwanda chako na kuboresha pato lako na pato la taifa. Tutembelee tukupe mbinu na namna ya kufikia malengo yako kwa kukupa ushauri na kukuunganisha na taasisi za mikopo ili uweze kupata uwezeshaji wa kipesa.

TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product