• Business Starts Here!

Vichanja vya kufugia kuku wa mayai


Vichanja vya kufugia kuku wa mayai Vichanja vya kufugia kuku wa mayai

Vichanja maalum vya kufugia kuku wa mayai (layers cage) sasa vinapatikana tena.

Tunazo cages grade mbili:
Grade A ni hot galvanized ambazo zina uwezo wa kudumu hadi miaka 30 bila kushika kutu wala kupauka. (Tunashauri zaidi mashamba yalio karibu na bahari au maeneo yenye magadi makali kwenye maji)

Grade B hizi zinaweza kudum hadi miaka 12 bila kupata kutu wala kupauka. Banda liwe safi na mbolea ifagiliwe mara kwa mara. Hizi ni nzuri sana kwa maeneo yenye maji baridi na yasio na bahari karibu mfano ARUSHA, MBEYA, IRINGA, KILIMANJARO nk

Cage zetu zote ni za kiwango cha juu na ndio chaguo la wafugaji kuku kibiashara Tanzania. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product