• Business Starts Here!

TZS 2,100 - Vifaranga wa mayai aina ya Bovans Brown wanauzwa


Vifaranga wa mayai aina ya Bovans Brown wanauzwa Vifaranga wa mayai aina ya Bovans Brown wanauzwa

BOVANS BROWN🐔🐤 (PURE) 
Vifaranga wetu mbegu ya bovans brown wanazalishwa kutoka mazingira yaliokidhi vigezo vya wizara ya kilimo na mifugo (Certified parent stock farm). Tumedhamiria kuleta mapinduzi makubwa katika soko la vifaranga na ufugaji wa kuku wa mayai kwa ujumla kwa kufungua shamba la kisasa zaidi la kuku wazazi,na kujenga hatchery yenye viwango vya EU.

Bado unaweza kuweka oda yako kwa kupata vifaranga vyako 26/6/2019. Vifaranga kuanzia 300 na kuendelea ni TZS 2,100. Vifaranga chini ya 300 bei TZS 2,400.

Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product