Nyumba ya kisasa inauzwa Goba. Ina bedrooms tatu ambapo moja ni master bedroo. Ina jiko, sebule, dining room na public toilet. Eneo la kiwanya ni 500 square meters. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.