Plot inauzwa. Ipo maeneo ya Kulangwa mbele ya sheli mpya.
Ukubwa: 800 square meters
Vipimo: Mita 40 kwa mita 20
Ina neighbourhood nzuri sana
Bei: TZS 22 Million
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.