• Business Starts Here!

TZS 350k - 1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni


1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni 1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni 1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni 1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni 1 bedroom studio apartment for rent in Mikocheni

Inapangishwa chumba master, sebule na jiko. Madirisha ya aluminium, mlango wa mbao ngumu, sakafu tiles, dari ya gypsum.  Ipo Mikocheni Regent - nyuma ya GEPF House, Victoria. Kodi ni Shilingi laki tatu na elfu hamsini (350,000/=) kwa mwezi. Malipo ya awali ni miezi mitatu. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Makumbusho Complex
  • Wakatibado Street
  • Makumbusho
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product