• Business Starts Here!

TZS 400M - Eneo la ekari 5 linauzwa Bunju


Eneo la ekari 5 linauzwa Bunju Eneo la ekari 5 linauzwa Bunju Eneo la ekari 5 linauzwa Bunju

Ekari tano (5) zinauzwa Bunju. Zipo jirani na hospitali ya moyo ya Bunju njia ya Magereza kilometers tatu (3) kutoka barabara ya lami ya Bagamoyo. Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kanisa, shule, taasisi au housing estate. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product