Pagala lenye vyumba vitatu. Lipo "Mageti" katikati ya Goba na Mbezi Beach. Lipo mita 300 kutoka barabara ya lami. Lipo kwenye uwanja wa square meters 400. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.