• Business Starts Here!

TZS 35M - Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Goba Magorofani


Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Goba Magorofani Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Goba Magorofani

Kiwanja kilichopimwa Goba Magorofani. Kina ukubwa wa 2,300 square meters (LOW DENSITY). Kipo kwenye eneo premium lenye maendeleo ya miundombinu yote. Kimeinama kidogo sio flat, itawafaa wajenzi wa maghorofa. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product