SKU: 9789987083107
Categories: Bilingual, Children's, English, Language, Picture book, Primary, Swahili, Textbook
Product ID: 9248
Ubongo
We all feel happy, and we all feel sad. Akili helps Little Lion to understand how it feels to be sad, and how we can make ourselves happy again.
- Kuna wakati tunahisi furaha, na kuna wakati tunahisi huzuni. Akili anamsaidia Little Lion kuelewa hisia ya huzuni na jinsi tunavyoweza kuwa na furaha tena.
Have fun in learning with Akili and Me books, in English and Kiswahili! Read the books to your child to help them learn to read. Enjoy the fun activities for more learning!
- Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao umsaidie kujifunza kusoma. Faidika na mazoezi ya kufurahisha na ujifunze zaidi.