• Business Starts Here!

TZS 25k - John Thomas Mhina Sepeku


John Thomas Mhina Sepeku John Thomas Mhina Sepeku

SKU: 9879987082155-1
Categories: African studies, Biography, Culture/People/Places, East Africa, Political economy & general, Politics, Religion, Social sciences, Swahili, Urban studies
Product ID: 9288

Augustino S. L. Ramadhani
Kitabu hiki ni historia fupi ya John Mhina Sepeku ambaye alikuwa Askofu wa kwanza wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam, na pia Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Tanzania. Historia hii imetegemea sana maelezo kutoka kwa watu mbalimbali waliomjua katika uhai wake. Mambo mengine yamemepatikana katika kumbukumbu nyingi zikiwemo za nyaraka mbalimbali.

Ni miaka Zaidi ya mia moja tokea kuzaliwa kwa Askofu Mkuu Sepeku na miaka arobaini na tatu tokea afariki dunia, hivyo, ilibidi kuchukua tahadhari kubwa katika kuyapima hayo maelezo kwani baadhi yake ni ya watu ambao nao pia walielezwa na wengine.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product