• Business Starts Here!

Fungua fixed deposit account na MCB


Fungua fixed deposit account na MCB Fungua fixed deposit account na MCB

Ukifungua akaunti ya muda maalum na Mwalimu Commercial Bank utajipatia faida mbalimbali na bora zaidi. 


Baadhi ya faida:
  • Riba nono ya asilimia 10 kwa mwaka (10%).
  • Unajipatia PikiPiki ya umeme bure kabisa.
  • Unaweza kupata mkopo hadi asilimia 80 ya amana uliyoweka (80%).
  • Unaweza kujipatia riba yako kwa utaratibu unaotaka mwenyewe.
Unasubiri nini? Tupige kwenye simu ya bure 0800750033 kupata maelezo zaidi.

Contact UsSend Email

  • Mlimani Tower
  • Sam Nujoma Road
  • Mlimani Area
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product