• Business Starts Here!

TZS 3M - Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo


Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo Nyumba ya kupangisha Dodoma Ilazo

Nyumba ya kisasa inapangishwa Dodoma,  Ilazo karibu na kwa Waziri Mkuu. Ina vyumba vitatu kati ya hivyo kimoja ni master bedroom. Vilevile ina jiko, dining room na sebule. Nje kuna servant quarter yenye chumba kimoja na sebule. Ina eneo kubwa la parking na usalama upo wa kutosha.

Tafadhali fika ofisini au wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitufekilichoandikwa "Piga simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product