Nyumba mbili zinapangishwa. Zipo Goba. Zina vyumba vitatu pamoja na sebule, dining, jiko, choo cha public. Chumba kimoja ni master. Zote kubwa sana na parking ndani hadi magari manne. Bei kwa mwezi kila moja ni TZS 400,000.
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu. Bonyeza kitu kilichoandikwa PIGA SIMU kupata namba zetu.