Ndio, kampuni ya CITYPLAN imeleta fursa na zawadi nzuri sana kwako wewe Mtanzania wa hali ya chini. Miliki kiwanja kwa mkopo, lipia kuanzia tshs 100,000 kwa malipo ya miezi 24 bila riba ! Viwanja vipo [ Maweni, Tanga. ]
Kiwanja cha makazi kinauzwa 5000 kwa mita ya mraba.
kiwanja cha biashara / taasisi kinauzwa 6000 kwa mita ya mraba.
Taarifa zaidi :
CITYPLAN.
P.O Box 72235, Dar es Salaam
8th Floor Mlimani Tower Opposite Mlimani City.