3 bedroom apartments zinapangishwa Mbezi Beach, Salasala Kinzudi. Zipo 3 katika compound moja. Kila unit inajitegemea. Kila unit ina rooms 3 ambapo moja ina self contained master bedroom, sebule, jiko, dinning room na public toilet. Kuna parking ya kutosha, maji ya dawasa na ulinzi wa kutosha.
Bei elekezi: TZS 500,000 kwa mwezi.
Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini.