Kiwanja cha makazi kinauzwa Mbweni JKT. Kina ukubwa mita za mraba 1,600 (square meters). Kipo Mbweni JKT, Block 3 low density only. In a very good neighborhood.
Bei 110M fixed
Tafadhali wasiliana na ofisi kwa maongezi zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.