• Business Starts Here!

TZS 35M - Kiwanja kinauzwa Madale, plot for sale in Madale


Kiwanja kinauzwa Madale, plot for sale in Madale Kiwanja kinauzwa Madale, plot for sale in Madale

Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kinauzwa. Kipo Madale Flamingo mita 1,100 kutoka barabara kuu ya Tegeta kuelekea Goba. Panafaa kwa kujenga apartments au residential estate. Pameshapimwa katika mradi shirikishi. 

Bei elekezi: TZS 35 Million
Tafadhali wasiliana na ofisi kwa maongezi zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product