Ghorofa linauzwa. Lipo Kimara Suka. Eneo ni mita za mraba 1,200 (square meters). Lina room tatu (3) juu na room mbili (2) chini. Master bedroom ipo juu. Vilevile ina sebule, jiko, dinning na public toilets.
Bei elekezi: TZS 200 Million
Tafadhali wasiliana na ofisi kwa maongezi zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.