• Business Starts Here!

TZS 60M - Kiwanja kinauzwa Goba


Kiwanja kinauzwa Goba Kiwanja kinauzwa Goba

Kiwanja cha makazi kinauzwa Goba. Kina ukubwa wa mita 70 kwa 40. Limeshawekwa mawe (beacons) Lipo Goba jirani na kwa Kingunge. 
Waliojenga jirani ni nyumba kali za kisasa tu. Linafaa sana kwa makazi. 

Bei elekezi: TZS 60 Million
Tafadhali wasiliana na ofisi kwa maongezi zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product