fNyumba ya vyumba viwili inauzwa. Ipo Goba mwisho nyuma ya stendi. Ina eneo la kuongeza kupata bedrooms 3. Parking ya kutosha. Itafaa kwa ajili ya kuipangisha sana kwasababu iko mjini kabisa. Tafadhali wasiliana nasi kwa maongezi zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini.
Bei elekezi: TZS 55 Million