• Business Starts Here!

TZS 35M - Nyumba inauzwa Mbezi Makabe


Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe

Nyumba inauzwa Mbezi Makabe. Haijakamilika inahitaji kufanyiwa finishing. Ipo Makabe, mtaa wa Makabe kwa Mhindi. Ipo mtaa wa watu wa kina cha kati (middle class) .. Ina vyumba vinne (4) ambapo kimoja ni master. Ina sebule, jiko, dinning room na public toilets. Ipo kwenye eneo la mita za mraba 400 (20 x 20). Eneo limeshapimwa na lina beacons. Bei elekezi ni TZS 35 Million.

Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product