• Business Starts Here!

TZS 100M - Nyumba inauzwa Sinza Mori


Nyumba inauzwa Sinza Mori Nyumba inauzwa Sinza Mori

Nyumba inauzwa Sinza Mori. Ipo kwenye eneo la mita za mraba 345 (square meters). Ina vyumba vinne (4) ambapo kimoja ni self contained (master bedroom). Pia ina sebule, dinning room, jiko na public toilets. Ina parking ya magari matano (5). Ikikarabatiwa unaweza kuipangisha kwa TZS laki saba (7) kwa mwezi. Ina hati miliki ya miaka 99.

Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kuona namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product